Makundi ya haki za binadamu na wataalamu wamelaani hatua hiyo, na kuzua wasiwasi kwamba vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati vinaweza wazuia watu kuomba hifadhi nchini Australia.
Mkurugenzi Mtendaji mwenza wa Baraza la Wakimbizi la Australia, Paul Power, amesema sheria iliyopendekezwa inadhoofisha sana kujitolea kwa Australia kwa kanuni za Mkataba wa Wakimbizi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





