Licha ya wasi wasi huo, mamlaka pamoja na Idara za Afya kote nchini, zinaendelea kufanya kampeni zaku wahamasisha watu wapokee chanjo, kwa ajili yaku dhibiti nakulinda wa Australia dhidi ya virusi vya COVID-19.
Mtayarishaji wetu wa makala Frank, ni mmoja miongoni mwa wanachama wa jamii zawatu kutoka Mashiriki Afrika, aliye jitolea kupata chanjo hiyo ya COVID-19. Ali fafanulia Idhaa ya Kiswahili ya SBS, hatua alizo fuata pamoja na utaratibu wote unao fuatwa kwa mtu kupata chanjo hiyo.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.