Notebook with a pen on a table in a classroom at a school Source: Moment RF / Antonio Hugo Photo/Getty Images
Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.
Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.
Sheria mpya zina athiri sana sekta huru ya elimu inayo toa mafunzo ya Kiingereza na elimu ya ufundi kwa wanafunzi wa kimataifa, na kusababisha baadhi ya taasisi hizo kufungwa.