Je wahamiaji na wakimbizi wanahisi wanakaribishwa katika miji yakikanda?

Msanii kutoka Burundi Foi na rafiki zake kutoka Albury-Wodonga

Msanii kutoka Burundi Foi na rafiki zake kutoka Albury-Wodonga Source: MK

Kifaa kipya kime undwa kwa ajili yakusaidia kuwavutia wafanyakazi ambao ni wahamiaji katika maeneo ya kikanda.


Emmanuel Musoni ni mwenyekiti wa shirika la GLAPD International, alifanya utafiti naku tengeza kifaa hicho, ambacho kitatumiwa na jamii za kandani na vijijni, pamoja na mashirika yanayo toa misaada kwa wahamiaji na wakimbizi kurahisisha mchakato wauhamisho wa wahamiaji na wakimbizi katika maeneo yakikanda na vijijini.

Bw Musoni alieleza SBS Swahili kuhusu changamoto zakuandaa kifaa hicho pamoja na matarajio yake kwa watakao kitumia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Je wahamiaji na wakimbizi wanahisi wanakaribishwa katika miji yakikanda? | SBS Swahili