Kirusi cha Influenza ni aina ya mafua yanayo ambukizwa kwa urahisi mkubwa na huzunguka mwaka mzima, lakini shughuli za mafua huongezeka wakati wa vuli, na maambukizi hufika kilele chake katika miezi ya majira ya baridi.
Je, familia yako iko tayari kwa msimu huu wa mafua?
Katika makala haya, tunazungumza na wataalamu watatu wa kimatibabu kwa ajili yakuchunguza ni nani walio hatarini zaidi kupata ugonjwa mubaya, wakati wa kupata chanjo ya kila mwaka ya mafua, na ni chaguo zipi zisizo za sindano zinazopatikana sasa kwa watoto nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






