Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Australia Yafafanuliwa:Jinsi yakununua sanaa za kiasili kimaadili nchini Australia

Fake Aboriginal Art

The Productivity Commission has recommended a new law which would protect Indigenous artists. Credit: NITV News

Je, unajua kwamba zawadi tatu kati ya nne zinazouzwa nchini Australia, kama za asili au zilizotengenezwa kwa mtindo wa Asili zimegundulika kuwa si za kweli?


Published

By Zoe Thomaidou

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Je, unajua kwamba zawadi tatu kati ya nne zinazouzwa nchini Australia, kama za asili au zilizotengenezwa kwa mtindo wa Asili zimegundulika kuwa si za kweli?


Wahamiaji na wageni wa hivi karibuni mara nyingi hawajui madhara yanayosababishwa kwa wasanii na jamii kupitia uuzaji wa kazi za sanaa zinazoiga sanaa ya Waaborijini na Wakazi wa Visiwa vya Torres Strait, au kupitia vitendo visivyo vya haki katika soko la sanaa ya Waaborijini.

Makala haya yana mwongozo kwa wanao anza kununua bidhaa za sanaa na ufundi, za Mataifa ya Kwanza kwa maadili nchini Australia.

Kwa kununua kwa maadili, Waustralia na wageni wanaweza kuchukua jukumu katika kulinda urithi huo wa kitamaduni na kuunga mkono jamii zinazofanya kazi hiyo.

Ni uamuzi mdogo ambao unaweza leta mabadiliko ya kudumu.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now