Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Australia Yafafanuliwa: Mbinu zakupunguza gharama ya mafuta

A petrol pump at a service station

Source: AAP

Kuongezeka kwa bei za mafuta kunaweka shinikizo kwenye bajeti za familia kote nchini Australia—na kwa watu wengi, kunabadilisha jinsi wanavyosafiri.


Kwa hivyo unaweza fanya nini kupunguza gharama zako za mafuta bila kuacha utaratibu wako wa kila siku?

Katika makala haya, tutaangalia njia rahisi na za vitendo za kuokoa pesa kwenye petroli—na kusikia jinsi Waaustralia wanavyobadilika.

Kwa kuwa bei za mafuta bado hazijulikani, kutumia petroli kidogo inapowezekana kunaweza kuwa mojawapo ya njia rahisi zaidi za kuokoa pesa.

Kwa vidokezo zaidi vya vitendo kuhusu kudhibiti gharama za maisha nchini Australia, tembelea tovuti ya SBS Australia Explained au tufuate popote unapopata podikasti zako.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now