Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Australia Yafafanuliwa: Nini cha kutarajia unapomtembelea daktari wa mifugo

Female vet checking ear of labradoddle during routine checkup in veterinary clinic

Kama una mnyama kipenzi wa nyumbani, kumpeleka kwa daktari wa mifugo mara kwa mara ni muhimu kwa kuhakikisha mnyama wako ana afya njema na usalama.


Published

Updated

By Phil Tucak

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Kama una mnyama kipenzi wa nyumbani, kumpeleka kwa daktari wa mifugo mara kwa mara ni muhimu kwa kuhakikisha mnyama wako ana afya njema na usalama.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Katika makala haya ya Australia Yafafanuliwa, utajifunza kuhusu cha kutarajia unapotembelea zahanati ya mifugo nchini Australia, ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa kawaida, huduma ya dharura na jinsi ya kujiandaa kwa miadi yako.

Kuwa mmiliki mwajibikaji wa mnyama kipenzi, kunamaanisha kumpa mnyama wako chakula, mazoezi, mafunzo, nyumba salama na huduma ya kawaida ya mifugo ili kumsaidia kuwa na afya njema.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now