Lakini bila kujali dini, kwa watu wengi nchini Australia kipindi cha Pasaka kinahusishwa na mapumziko marefu ya wikendi, shughuli za nje, na mikusanyiko ya kijamii.
Kwa kuwa likizo za shule kwa kawaida huambatana, wakati huu wa mwaka hutoa fursa nyingi pia kwa watoto kushiriki katika mila na sherehe za kitamaduni.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.




