Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Australia Yafafanuliwa: Sensa ya 2026: Unacho stahili jua kuhakikisha una hesabiwa

SBS Greek
Source: AAP

Sensa ya 2026 itafanyika Jumanne tarehe 11 Agosti na kila mtu nchini Australia usiku huu lazima ahesabiwe.


Published

By Melissa Compagnoni

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Sensa ya 2026 itafanyika Jumanne tarehe 11 Agosti na kila mtu nchini Australia usiku huu lazima ahesabiwe.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Data ya sensa inatumika kuelewa watu wanaishi wapi, lugha zinazotumiwa nyumbani, misaada ambayo jamii zinahitaji na jinsi Australia inavyobadilika kama taifa.

Kuhesabiwa husaidia kuhakikisha jumuiya na utamaduni wako unawakilishwa.

Haya ndiyo unayohitaji kujua kuhusu kukamilisha Sensa ili wewe na familia yako munahesabiwa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Sensa, ikiwa ni pamoja na taarifa na usaidizi wa lugha, tembelea census.abs.gov.au/language

Makala haya yalitolewa kwa ushirikiano na Ofisi ya Takwimu ya Australia.

Bofya hapo juu kwa taarifa zaidi.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now