Jamii zawa hamiaji za dai kuwa, viza mpya ya wazazi ya Australia haiko sawa

Familia ya Sandhu katika picha

Familia ya Sandhu katika picha Source: Sandhu

Jumatano tarehe 17 Aprili, huduma ilifunguliwa kupokea maombi, ya viza ya muda mfupi ya wazazi, iliyo subiriwa kwa muda mrefu. Lengo la viza hiyo nikutoa uamuzi mbadala ya viza zakudumu zilizopo kwa wazazi wa wahamiaji.


Jamii zawa hamiaji zimefanyia kampeni kwa miaka mingi swala la viza zamuda mrefu, ambazo zinaweza ruhusu familia kuungana nama bibi nama babu wao ila, wahamiaji wengi wanasema wana hisi wanatengwa kupitia masharti magumu ambayo yame wekwa katika viza hiyo mpya.

Licha ya malalamishi hayo, serikali imesema kuwa viza hiyo ili undwa kupitia ushauriano na jamii, na kigezo cha mapato kipo, kuhakikisha mdhamini ana rasilimali zakutosha, kuwasaidia wazazi wake. David Coleman ndiye waziri wa uhamiaji wa shirikisho, ame eleza shirika la habari la SBS kuwa: Viza hiyo mpya itawasaida maelfu ya familia zawa Australia na, imefanikiwa kuwasilishwa na serikali licha ya upinzani unao endelea kutoka chama cha Labor.

Chama cha Labor kime kosoa sera hiyo ya chama cha mseto na, chama hicho kinatarajiwa kutangaza sera yake binafsi katika kampeni ya uchaguzi mkuu.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service