Mfumo wa kisiasa wa Australia

Source: AAP
Uchaguzi wa shirikisho utafanyika hivi karibuni na Bunge la Australia la 46 linatarajiwa kuundwa baada ya uchaguzi. Uchaguzi huu huamua wanachama 151 kuingia Baraza la Wawakilishi, wanachama 75 wa Seneti, na hatimaye, kiongozi anayefuata wa nchi. Kwa hivyo uchaguzi huamuaje serikali yetu ijayo? FRANK MTAO anatuelezea zaidi.
Share