Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice

Karatasi ya kura ya maoni ya The Voice.jpg

SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.


Swali ambalo litakuwa kwenye karatasi ya kura ni: “Pendekezo la Sheria: kubadili Katiba kuwatambua wa Australia wa Kwanza kwa kuanzisha Sauti yawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait. Una idhinisha badiliko hili lililo pendekezwa?”

Kama ilivyo tarajiwa, kura hiyo ya maoni ime zua gumzo za hisia mseto nchini kote. Wanachama wa jumuiya zawa hamiaji wanao stahiki kupiga kura na wanao unga pande mbili husika katika kampeni hiyo walichangia maoni yao tuki anza kwa wanao unga kampeni ya ndio.

Uta takiwa kujaza karatasi ya kura kwa majibu mawili “ndio” au “la” kwa ukamilifu katika kiingereza. Kupiga kura kwa raia wengi wa Australia wenye zaidi ya miaka 18 ni lazima, na unaweza kabiliwa kwa adhabu. Una ruhusiwa kupiga kura mara moja tu.

Australia ina majimbo sita, na ili kura hiyo ya maoni ipitishwe, lazima ikubaliwe na idadi kubwa ya wapiga kura katika majimbo mengi, hiyo ina maana angalau majimbo manne.

Ahadi ya kutambuliwa katika katiba ni sehemu ya hatua tatu inayo anza kupitia kura ya maoni na, ina endelea kujumuisha kusema ukweli pamoja na mkataba.

SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service