Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?

ALCBudget2025 FEDERAL BUDGET 2025

Australian Treasurer Jim Chalmers (left) and Australian Finance Minister Katy Gallagher walk through the Senate courtyard during a picture opportunity at Parliament House in Canberra, Monday, March 24, 2025. (AAP Image/Lukas Coch) NO ARCHIVING Source: AAP / LUKAS COCH/AAPIMAGE

Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.


Bajeti ya shirikisho inapo jiri chini ya wiki nane kabla ya uchaguzi mkuu, serikali ya shirikisho imejipata katika nafasi ngumu, ikijaribu kusawazisha vipaumbele vyake, na kudhibiti ujumbe.

Bajeti kwanza kabisa zina husu serikali kuwa ambia watu jinsi wata tumia hela zao za ushuru.

Na kuna taarifa nyingi zaku pigia hali hiyo debe kuelekea kutangazwa kwa bajeti, serikali ikiwa haina haya kuwa eleza wa Australia kuhusu ahadi kubwa za matumizi, inapokuja kwa Medicare, Miundombinu, Makaazi miongoni mwa vitu vingine, wanapo jiandaa kuelekea katika vituo vyakupiga kura.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service