Huge pedestrian crowds make the most of the Boxing Day sales in the CBD in Sydney, Tuesday, December 26, 2017 Source: AAP
Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.
Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.
Mipango inayo lenga jumuiya za matiafa ya kwanza imepongezwa pia ila, wanaharakati wamesema bado kuna kazi nyingi inayo stahili fanywa.