Baraza lamawaziri lakitaifa lilikutana jana kwa mara ya kwanza, tangu wakati mikutano ya mara mbili kwa wiki ilipotangazwa, kwa ajili yakurejesha mradi wakitaifa wa chanjo katika mwelekeo unao faa.
Mkutano huo ulifanyika katika siku ambayo viwanja vya ndege vya New Zealand, vilikuwa na shughuli nyingi baada ya mpango wa usafiri kati yamataifa hayo mawili ya eneo la Tasman kufunguliwa tena.
Kwa hatua za afya na msaada ambao upo kwa sasa, katika jibu la janga la COVID-19, katika lugha yako, tembelea tovuti hii sbs.com.au/coronavirus
Share






