Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Australia Yafafanuliwa: Bendera yawa Aboriginal: Alama ya Utambulisho na Kuwa Sehemu ya Jamii

Aboriginal flag

Je, umewahi ona bendera ya rangi nyekundu, nyeusi na njano ikiwa pamoja na bendera ya Australia? Hii ni bendera yawa Aboriginal.


Published

By Nikyah Hutchings

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Je, umewahi ona bendera ya rangi nyekundu, nyeusi na njano ikiwa pamoja na bendera ya Australia? Hii ni bendera yawa Aboriginal.


Inawakilisha wa Aboriginal wa Australia na uhusiano wao na ardhi, jamii na hadithi zao. Kwa watu wengi, ni zaidi ya bendera.

Ni ishara na ukumbusho wa nguvu, uhai na utambulisho.

Ingawa Australia ina bendera moja rasmi ya taifa, inatambua bendera tatu, ikiwemo bendera yawa Aboriginal na bendera yawatu kutoka Visiwa vya Torres Strait.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now