Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi"

Bensoul na Ed wakiwa ndani ya studio ya SBS Swahili.JPG

Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.


Bensoul yuko Australia, kwa ziara maalum iliyo andaliwa na Tribe Entertainment.

Ed kutoka Tribe Entertainment akiwa na Bensoul katika ofisi ya SBS Audio.jpg

Alipotembelea studio za SBS Swahili pamoja na Bw Ed kutoka Tribe Entertainment, Bensoul alifunguka kuhusu safari yake kimziki, mapokezi ambayo amepata Australia pamoja na anavyo wa andalia wapenzi wa mziki wake.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now