Nchini Uganda, jeshi la polisi lime anza uchunguzi kwa vifo vya watu 45, walio uawa kufuatia maandamano yaliyo zuka baada yakukamatwa kwa mwanasiasa Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Kwa Upande wake Bobi Wine amewasisitizia wafuasi wake pamoja na waganda wote kwa ujumla kuwa, wata endelea kufuata sheria licha ya dhulma ambayo wanatendewa na vyombo vya usalama.
Bobi Wine:"Tuta endelea kufuata sheria licha ya dhulma tunayo fanyiwa"

Mwanasiasa na nyota wa Uganda Bobi Wine ahudhuria mahakama kwa kesi ya dhamana kupitia video Source: AP
Imekuwa wiki nyingine yenye matukio mengi katika ukanda wa Mashariki na Afrika ya Kati.
Share