Canberra: tathmini ya wiki hii 10 Agosti 2018

Bunge la taifa, mjini Canberra, Australia

Bunge la taifa, mjini Canberra, Australia Source: Wikimedia

Wiki ya kisiasa ime malizika kwa sera muhimu ya serikali ya mseto, ikijadiliwa katika mkutano muhimu wa serikali zamajimbo namikoa.


Dhamana ya nishati ya taifa inahitaji idhinishwa na serikali zamajimbo na mikoa pamoja na chama tawala, iwapo ita pata fursa yaku anza kutumika.

Kando na siasa za nishati, mmoja wa nyota wagombea wa chama cha Labor katika uchaguzi mkuu uliopita, ametangaza kuwa atajiuzulu baada ya wiki kibiliana na wiki kadhaa za kashfa dhidi yake. Hata hivyo Emma Husar, alifanya hivyo yeye mwenyewe masaa machache baada ya Bw Shorten kutoa kauli hiyo.

Bi Emma ametangaza hata tetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi mkuu ujao, ambao unatarajiwa kuwa mwaka ujao wa 2019, kwa sababu shinikizo imekuwa kubwa dhidi ya familia yake.

Licha ya madai yaliyo mkabili, imebainika katika uchunguzi ulio fanywa kuwa Bi Emma hana hatia yoyote.

Vikao vya bunge vita enza tena tarehe 13 Agosti, baada ya mapumziko marefu ya majira ya baridi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Canberra: tathmini ya wiki hii 10 Agosti 2018 | SBS Swahili