Viongozi wa jamii yawarundi wanao ishi mjini Sydney, Australia wana andaa sherehe maalum kwa niaba yakina mama katika jamii yao, baada ya vizuizi vya COVID-19 kuwazuia kufanya hivyo mwaka jana.
Bi Cecil ni mmoja wa viongozi wa jamii hiyo, katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, aliweka wazi umuhimu wakuandaa sherehe hiyo pamoja na baadhi ya maswala muhimu yatakayo jadiliwa katika tukio hilo. Image
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






