Haki za Watumiaji na wizi mitandaoni

Source: getty Images
COVID-19 imetufanya tuunganishwe zaidi kwa njia ya dijitali. Ikiwa wewe ni mpembuzi mpya au mpembuzi wa muda kwa muda, mtandao unaweza kuwa mahali hatari ikiwa haujui jinsi ya kutambua ishara za onyo. Frank Mtao ana taarifa zaidi.
Share