Dalili za mshtuko wa moyo ni gani na unaweza fanya nini ikitokea?

Daktari achunguza shinikizo ya damu ya mgonjwa wakike.

Daktari achunguza shinikizo ya damu ya mgonjwa wakike. Source: Getty Images/Terry Vine

Ugonjwa wa moyo ni sababu kubwa ya kifo nchini Australia.


Kwa wastan, mu Australia mmoja hufa kila dakika 12 kwa sababu ya ugonjwa wa moyo. Inapokuja kwa swala la mishtuko ya moyo, mu Australia mmoja hufa karibu kila saa moja.

Je! Unajua jinsi yakutambua dalili za mshtuko wa moyo, na chakufanya inapo tokea? Uwezekano wakupata mshtuko wa moyo ni mdogo sana, kama una ishi maisha ya afya nzuri. Ila ikitokea kwako au mtu wa karibu yako, kumbuka dalili na chukua hatua haraka.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya The Heart Foundation, anwani yao ni: https://www.heartfoundation.org.au/


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Dalili za mshtuko wa moyo ni gani na unaweza fanya nini ikitokea? | SBS Swahili