Mwenyekiti wa Men's Cave Forum Bw David Kamande aki wahotubia wanachama wake.
Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.

Katika mahojiano maalum na mwenyekiti wa kundi hilo Bw David Kamande, ali eleza SBS Swahili manufaa yakuwa mwanachama wa kundi hilo.