Deborah"KASA imeshirikiana na baadhi yamaduka kutoa vyakula kwa wanachama wakati wa makatazo ya COVID-19

Deborah Kalei, Rais wa KASA akiwa kwenye zulia jekundu

Deborah Kalei, Rais wa KASA akiwa kwenye zulia jekundu. Source: Deborah Kalei

Hakuna shaka janga la COVID-19 lime vuruga maisha ya kila mtu pamoja nakusababisha hasara na madhara yasiyo hesabika.


Hata hivyo, watu binafsi pamoja na vyama vinavyo wakilisha jamii mbali mbali nchini, vimechukua hatua zakujaribu kuwa nusuru wanachama wa jamii walio jipata pabaya kwa sababu ya mlipuko wa janga la COVI-19 pamoja na hatua zakudhibiti janga hilo.

Deborah Kalei ndiye Rais wa shirika la KASA, shirika hilo huwakilisha nakuwahudumia wakenya wanao ishi Kusini Australia. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bi Kalei aliweka wazi aina ya misaada ambayo KASA ilitoa kwa wakenya walio athiriwa na janga la COVID-19. Kwa taarifa zaidi kuhusu KASA tembelea: kasa.org.au

Bonyeza hapo juu kwa usikize mahojiano kamili.

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service