Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"

Dj Mozz akiwa kazini.jpg

Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.


Dj Mozz hualikwa katika vilabu, tamasha na matukio mbali mbali ambako kipaji chake huchangia kuleta raha na starehe kwa wanao hudhuria hafla hizo.

Alipo tembelea SBS Swahili, alifunguka kuhusu alivyo ingia katika sekta hiyo, umuhimu wa wazazi kuwapa watoto fursa yakufuta ndoto zao pamoja na changamoto za kazi yake.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now