Mataifa wanachama wa muungano wa Afrika yame sisitiza yana mtaka rais wa Marekani Donald Trump aombe msamaha baada ya kushtumiwa kudhalilisha matiafa ya Afrika na Haiti katika kauli yake.
Imeripotiwa madai hayo yalijiri wakati wa kikao cha pamoja cha maseneta wa vyama vya Republican na Democrats, ambao walikuwa waki mwarifu rais huyo kuhusu mageuzi katika mfumo wa viza za marekani, pamoja naku jadili uhamiaji kutoka Afrika.
Licha shutma hizo, Bw Trump ame sisitiza kuwa hakutumia maneno hayo ya dharau, katika mkutano alio hudhuria wiki iliyo pita.
Share






