Wakati huo huo mashaka kuhusu upokeaji wa chanjo za COVID-19, yanaendelea kuongezeka miongoni mwa baadhi yawanachama wa jamii mbali mbali.
Dr Benedict ali ifafanulia idhaa ya Kiswahili ya SBS umuhimu wa watu kupokea chanjo, kwa ajili yaku boresha kinga ya mwili nakuepuka kupata magonjwa mabaya zaidi. Dr Benedict alizungumzia pia dhana na baadhi ya taarifa zinazo sambazwa mitandaoni kuwashawishi watu kutopokea chanjo dhidi ya Coronavirus.