Mwaka huu DR Congo ilimaliza ukame wakuto shiriki katika Kombe la Dunia la FIFA baada ya zaidi ya miaka 50.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Hata hivyo, DR Congo ilijipata katika kundi ambalo lilijumuisha Ureno, Colombia na Uzbekistan.
SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wanachama wa timu ya vijana ya Jumuiya ya DR Congo wanao ishi Sydney, NSW. Vijana hao walifunguka kuhusu matarajio yao kwa timu yao katika Kombe la Dunia la 2026.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






