Mseto wa UDA wamtangaza Dr William S Ruto kuwa kinara wao katika uchaguzi mkuu

Kinara wa mseto wa UDA Dr William S Ruto akiwa pomoja na vinara wa vyama vinavyo unda mseto wa UDA

Kinara wa mseto wa UDA Dr William S Ruto akiwa pomoja na vinara wa vyama vinavyo unda mseto wa UDA Source: UDA Kenya

Mseto wa United Democratic Alliance (UDA) ume mtangaza rasmi Naibu Rais wa Kenya, William Samoei Ruto kuwa kinara wake katika uchaguzi mkuu wa 9 Agosti 2022.


Kampeni za Urais nchini Kenya zime anza sasa kwa kina, baada ya vinara wa miseto kutangazwa rasmi siku chache zilizo pita. Naibu Rais wa Kenya Dr William S Ruto, ata kabiliana na wandani wake wa zamani Raila Odinga taifa hilo liki jiandaa kuingia debeni hivi karibuni.

Katika hafla iliyo andaliwa ndani ya ukumbi wa michezo wa Kasarani mjini Nairobi, Kenya, Bw Ruto alipewa idhini rasmi yaku peperusha bendera ya mseto wa UDA katika uchaguzi mkuu. Na katika hotuba yake yaku kubali fursa hiyo Bw Ruto aliweka wazi vipaumbele vya mseto wake utakapo shinda uchaguzi mkuu.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service