Mechi kubwa inayosubiliwa kwa hamu ni kati ya Barcelona vs PSG, huku Messi, huku Neymar.
Je, nani atatoka kifua mbele katika mzunguko huu wa 16 bora?
Wakati huo huo timu zenye kusuasua Arsenal na Manchester United zitapiganaje kwenye ligi ya Ulaya?
Tuungane na mjadala huo wa soka kupitia Duru la Michezo.