Timu ya soka Jumuiya ya Ghana yatwaa taji baada ya kuitoa jasho Sudani Kusini katika mchezo wa fainali ngumu kuwahi kufanyika hapa NSW
Congo nayo iliambulia patupu baada ya kulazwa kwa mabao 3-2 dhidi ya Cape Verde ambao walitawazwa kuwa washindi wa tatu kwa mwaka 2020.
Video kamili ya mitanange hiyo utaipata kupitia youtube channel ya SBS Swahili na kuangalia SBS NITV.