Je! kikosi hicho kitafanikiwa ambako vikosi vya walinda amani wa Umoja wa Mataifa vimefeli kufikia sasa?
EAC kuunda kikosi cha kukabiliana na waasi DRC

Rais Tshisekedi wa DRC atia saini mkataba wakujiunga na EAC Source: Statehouse Kenya
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wana andaa kikosi maalum, kitakacho pelekwa kukabiliana na waasi DR Congo.
Share