VANCOUVER, CANADA - JUNE 13: Team Australia starting lineup pose for photos before the FIFA World Cup 2026 group stage match between Australia and Turkey at BC Place Stadium on June 13, 2026 in Vancouver, British Columbia, Canada. Source: SIPA USA / Amy Elle/SPP/Sipa USA/AAP Image
Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.
Kuanzia kambi za wakimbizi na mwanzo wa unyenyekevu wa wahamiaji hadi hatua kubwa zaidi ya michezo - hii hapa hadithi, kama ilivyosimuliwa kupitia macho ya wachezaji watatu wa kikosi cha Australia.