Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Asubui ya Jumapili 17 Mei 2026, Bi Sheila aliagana na binamu yake Faith.
Wawili hao walielekea katika sehemu zao za kazi, wakiwa na mipango yakuwa wenyeji wa jamaa na marafiki jioni hiyo.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Faith alitueleza yaliyojiri muda mfupi baada ya sita mchana huo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share






