Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"

Bw Germain Byadunia kwenye bango pamoja na kiongozi wa UNC Mh Vital Kamerhe.jpg

Wagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.


Bw Germain ni mmoja wa wagombea hao, anawania ubunge kupitia chamacha UNC cha Mh Vitale Kamerhe.

Licha yakuwa na maisha yakistaarab nchini Australia, Bw Germain ame amua kurudi kutoa huduma kwa jamuia yake. Alitueleza kwa urefu na upana kuhusu motisha yakuacha kazi na shughuli zake nchini Australia, kwa ajili yakuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now