Ila Luundo Rajabu kutoka Brisbane, Australia ame kataa vishawishi vyote nakusalia katika mziki wa injili.
Hivi karibuni kwa ushirikiano na wasanii wenzake nchini Australia, ametoa wimbo wake mpya ambao ame uita, 'Atawale'.
SBS Swahili ilizungumza na Bw Luundo, kuhusu kinacho mpa moyo kuendelea kuimba nyimbo za injili, na je mwelekeo wa mziki wa injili waki Afrika nchini Australia ni upi?



