Hayati Rais Dkt John Magufuli wa Tanzania, ni kiongozi aliye ongoza kwa misimamo na mitindo tofauti na viongozi wenza barani Afrika.
Bi Hadija, ni mtanzania anaye ishi nchini Australia, katika mazungu na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, alitathmini uongozi wa hayati Dkt Magufuli na alivyo onesha jinsi bara hilo linaweza jiendeleza kupitia rasilimali zake binafsi, bila kutegemea misaada yakigeni.