Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini?

Meeting of Lebanese religious leaders in Sydney Jan 2021

Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.


Published

By Zoe Thomaidou

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Share this with family and friends


Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.


Katika baadhi ya kesi, kunaweza kuwa pia misingi halali yaku zuia uhuru wa mfanyakazi kufuata dini yake. Iwapo unazingatia kuwasilisha malalamishi kwa mamlaka husika au, kufuatilia swala hilo kisheria, ni muhimu kujua chaguzi zako kama umepitia uzoefu wa ubaguzi wakidini kazini.

Australia ni mshiriki wa mkataba wa kimataifa wa haki za kiraia na kisiasa, ambayo hutoa ulinzi mkubwa kwa uhuru wakidini, pamoja na udhihirisho wake.

Hata hivyo, michakato yaku anzisha muswada wakutoa kinga dhidi ya ubaguzi wakidini bado ina endelea. Kwa hiyo, hakuna sheria moja Australia yenye masharti kuhusu jinsi yakutumia haki zakidini.

Katika muktadha wa ajira, kuna kinga kitaifa dhidi ya ubaguzi kwa misingi ya kidini chini ya sheria ya Fair Work Act 2009, ila sheria hizo ni ndogo kwa upeo.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now