Mweka hazina wa Australia Scott Morrison na waziri wa fedha Mathias Cormann katika baraza la mawaziri wa serikali ya Australia Source: AAP
Waziri mkuu Malcolm Turnbull amesema familia zita pewa msaada kwa gharama ya maisha, uhakika kwa huduma muhimu utatolewa na miradi ya barabara na reli ita tolewa katika bajeti hiyo.
Waziri mkuu Malcolm Turnbull amesema familia zita pewa msaada kwa gharama ya maisha, uhakika kwa huduma muhimu utatolewa na miradi ya barabara na reli ita tolewa katika bajeti hiyo.
Makato binafsi ya kodi kwa wanao pokea mapato ya kati, yanatarajiwa kuwa sehemu kubwa ya bajeti ya tatu ya mweka hazina Scott Morrison hata kama haijawa wazi itakuwa katika umbo gani.