Australia ina moja ya viwango vya juu kwa saratani ya ngozi duniani.
Saratani nyingi za Ngozi, melanoma ikijumuishwa, hutokea baada yakuharibika kwa seli za Ngozi, ambayo haija lindwa dhidi ya miale mikali ya jua.
Makala haya ya mwongozo wa makazi, yana chunguza maswala ya hatari ya saratani ya Ngozi, watu wenye Ngozi nyeusi wakijumuishwa, na jinsi yakubaki salama katika jua nchini Australia.
Share






