Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali"

Mgeni wa heshima Bw Thomas K Boor (kushoto), akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wa NSW Bw Hezron Baranga (kulia).jpg

Mgeni wa heshima Bw Thomas K Boor (kushoto), akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wa NSW Bw Hezron Baranga (kulia).jpg

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakupanga malengo ya mwaka.


Bw Thomas K Boor alikuwa mgeni wa heshima katika mkutano huo, alichangia uzoefu wake pamoja nakutoa ushauri kwa wanaume walio hudhuria mkutano huo.


Kwa upande wake, Bw Hezron Baranga, alisisitiza umuhimu wakuwa na mazoea ya kujuliana hali mara kwa mara, hasa kwa wanajumuia wanao ishi peke yao.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service