Miji mingi yakikanda nchini Australia, imepata pigo kubwa ya madhara ya ukame.
Hali hiyo ningumu haswa kwa wanafunzi kutoka mazingara ya ukulima, ambao lazima wakabiliane na changamoto za ziada, zakuwaza maslahi na mapato ya familia zao zakilimo, na wakati huo huo lazima wapate matokeo mazuri katika masomo yao.
Dr Ndungi wa Mungai na Dr Kiprono Langat, ni walimu katika chuo cha Charles Sturt ambacho kiko mjini Wagga Wagga. Wawili hao wali eleza idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu uzoefu wao, wakufanya kazi katika kanda ya Australia pamoja na changamoto zinazo wakabili baadhi ya wanafunzi wao kutoka mazingira ya ukulima.
Share





