Kufanya makazi katika nchi mpya huja na changamoto nyingi. Kutafuta nyumba, elimu, ajira ni usumbufu na unaweza kuwa na athari katika afya ya akili. Kwa watu wanaohitaji, kuna njia za bure za kupata usaidizi wa afya ya akili nchini Australia.
Share

Published
Updated
By Audrey Bourget
Presented by Frank Mtao
Source: SBS
Share this with family and friends

