Jamii ya Kitwek yawakaribisha wahitimu wamafunzo yakitamaduni

Vijana kutoka jamii ya Kitwek mjini Perth, wakaribishwa katika sherehe baada ya tohara na kukamilisha mafunzo.

Vijana kutoka jamii ya Kitwek mjini Perth, wakaribishwa katika sherehe baada ya tohara na kukamilisha mafunzo. Source: Kitwek Association

Jamii nyingi za watu wenye asili ya Afrika zina mila, desturi na tamaduni zao, ambazo kwa sehemu kubwa zinatofautiana.


Katika jimbo la Magharibi Australia, Jamii ya Kitwek alikabiliwa na changamoto yaku endeleza tamaduni zao hususan kwa swala la tohara ya wavulana.

Licha ya nia yakushiriki kuwepo kutoka kwa wahusika, uwezo wakusafiri hadi nchini Kenya haukuwepo kwa sababu yakufungwa kwa mipaka yakimataifa ya Australia kwa sababu ya UVIKO-19. Hali hiyo iliwalazimisha viongozi wa jamii ya Kitwek kutafuta mbinu mbadala yakuwatendea vijana wao haki.

Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS Rais wa jamii ya Kitwek Bw Steven Sitienei, alifunguka kuhusu jinsi kamati yake ya viongozi ilivyo tatua changamoto hiyo. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service