Je! miaka 27 baada ya tukio hilo, kumbukumbu na hisia za baadhi yawahanga na walio shuhudia mauaji hayo zikoje?
Jamii yawanyarwanda wa New South Wales, wafunguka kuhusu mauaji ya 1994

Baadhi yawalio shiriki katika ibada yakumbukumbu yamauaji ya Rwanda ya 1994 wawasha mishumaa kama ishara yakumbukumbu 10 Aprili 2021 Source: Jean Paul Amedee Nizigama
Picha na kanda za video zilizokuwa zikitoka nchini Rwanda katika mwezi wa Aprili 1994, zili kera nakutikisa jamii yakimataifa.
Share