Kifo cha rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli kilipo tangazwa, jamii hiyo ilikuwa chini ya vizuizi kumaanisha wanachama hawakuweza jumuika pamoja katika ibada za maombolezi.
Siku chache baada ya vizuizi hivyo kuondolewa viongozi wajamii hiyo, waliandaa hafla ambako wanachama walijumuika pamoja namarafiki wajamii hiyo, ambapo walitoa heshima zao kwa hayati Dkt Magufuli. Bw Lyimo, ni mmoja wa washauri katika jamii hiyo, katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, alifafanua umuhimu wajamii kuandaa hafla hiyo.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.