Je! Azimio One Kenya watafanikiwa kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu?

Vinara wa vyama vya mseto wa Azimio la Umoja kwenye kampeni

Vinara wa vyama vya mseto wa Azimio la Umoja kwenye kampeni Credit: Statehouse Kenya

Mrengo wakisiasa wa Azimio One Kenya unajiandaa kuwasilisha ombi lakubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo.


Licha ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya IEBC Bw Wafula Chebukati, kumtangaza Dr William Ruto kuwa mshindi wa urais kinara wa mrengo wa Azimio One Kenya, Raila Odinga amekataa kutambua tangazo hilo nakumshutumu Bw Chebukati kwa kuto tenda haki.

Ungana na mwandishi wetu Jason Nyakundi, ambaye amezungumza na wachambuzi wa maswala yakisiasa ya Kenya katika makala haya.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service