Mmoja wa nyota anaye windwa na vilabu vingi ni Kylian Mbappe, je nyota huyo ata ihama PSG nakukita kambi Old Trafford?
Je Mbappe ata tua Old Trafford?

Nyota wa Ufaransa na PSG Kylian Mbappe. Source: Getty Images
Wakati misimu ya ligi mbali mbali imeanza barani ulaya, tetesi za usajili nazo zinaendelea kuwaunga baadhi ya wachezaji na vilabu tofauti na wanako cheza.
Share