Watu wengi wali ongeza juhudi katika sala na imani kukabiliana na changamoto ambazo janga la COVID-19 ilizua, ila nikama juhudi zao zimegonga mwamba.
Hata hivyo shirika la ICRM ambalo linawanachama kutoka jamii zenye tamaduni mbali mbali, halijafa moyo na linaendelea kuwahimiza wanachama wake pamoja najamii pana kwa ujumla iendelee kuwa na imani kuwa maombi yao yatajibiwa muda si mrefu.